MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA ICT OFFICER II-TBC ULIOFANYIKA TAREHE 06-03-2021
MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA YA ICT OFFICER II-TBC ULIOFANYIKA TAREHE 06-03-2021Mar 06, 2021
Wasailiwa waliochaguliwa (Selected)
kuendelea na usaili wa vitendo (Pratical) wanatakiwa kufika College of Information and Communication Technologies (CoICT )- Kijitonyama-DSM kwa ajili ya usaili huo, siku ya Jumapili tarehe 07-03-2021 saa moja kamili asubuhi.Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)Wasailiwa pia wanakumbushwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (Mask).
0 comments
Post a Comment