TANGAZO KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO 03-03-2021



 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO.



Unapojibu tafadhali taja:
Kumb. Na CDC/05/3/VOL III/14

 Tarehe:01/03/2021

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato anawatangazia waombaji wotewa nafasi za utendaji wa Kijiji daraja la III waliokidhi vigezo kufuatia tangazo lenye
kumb.Na CDC/05/3/VOL III/9 la tarehe 06 Desemba,2020 kuitwa kwenye usaili
utakaofanyika tarehe 15 Machi,2021 hadi 16 Machi,2021. Waombaji wote wanatakiwa
kufanya usaili wa mchujo (written interview) tarehe 15 Machi, 2021 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Chato kuanzia saa 2:00 Asubuhi na watakaofaulu watafanya Usaili wa mahojiano (Oral Interview) tarehe 16 Machi,2021 kuanzia saa 2:00 asubuhi. 

RECCOMENDED 


■■■■■■>>>>>>JOBS RELEASED BY UTUMISHI 04 MARCH 2021

NB:
Waombaji wote wanatakiwa kuja na vyeti vyao halisi (Original Certificates) ikiwemo cheti  cha kuzaliwa ,cheti cha kidato cha nne,vyeti vya taaluma na ujuzi na picha mbili ( passport size) wasailiwa watajigharamia wao wenyewe. 


ANGALIA ORODHA YA MAJINA HAPA👇👇👇👇👇👇

IFUATAYO NI ORODHA YA WAOMBAJI WALIOITWA KWENYE USAILI

0 comments

Post a Comment